Chama cha Mapinduzi ya Watu wote wa Afrika kinakualika katika Siku ya Ukombozi wa Afrika 2023. Tafadhali jiandikishe leo na utoe mchango wa kusaidia sherehe za A-APRP ALD duniani kote.
UBEBERU NA UKOLONI MABOLEO LAZIMA UHARIBIWE!
WAAFRIKA, SIMAMENI TAYARI KWA MAPINDUZI!
MEI 25, 2023
WWW.AAPRP-INTL.ORG